Thursday, April 26, 2012

Simba kuikaribisha Al Alhly Shandy katika dimba la Taifa Jumapili

Wakali wa Msimbazi watoto wa Mheshimiwa Rage, aka wekundu wa Msimbazi Jumapili hii wana mtihani mzito wa kujihakikishia wanakata tiketi ya kuingia katika hatua ya makundi ya kombe la Shirikisho la CAF.